sexta-feira, 23 de novembro de 2007

``Wakati umefika: Ufalme wa Mungu umewasili. Tubuni, muamini Habari Njema.''

Ninyi mnajua njia ya kufikia ninakokwenda.''
``Bwana, hatujui unakokwenda; tutaijuaje njia?''
Yesu akawaam bia, ``Mimi ndiye Njia na Kweli na Uzima; mtu hawezi kufika kwa Baba bila kupitia kwangu.
``Ingieni kwa kupitia mlango mwembamba; kwa maana mlango mpana na njia rahisi huelekea kwenye maangamizo, na watu wanaopitia huko ni wengi. Lakini mlango mwembamba na njia ngumu huelekea kwenye uzima, na ni wachache tu wanaoiona.''
``Tubuni, muache dhambi na kila mmoja wenu abatizwe katika jina la Yesu Kristo, ili msamehewe dhambi zenu; nanyi mtapokea zawadi ya Roho Mtakatifu.

Nenhum comentário: